Matukio Picha Maadhimisho ya Miaka 10 ya Siku ya Pai Tanzania

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Umoja ya Kiwalani, jijini Dar es Salaam, wakitoa burudani ya ngoma w Makhirikhiri, wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Machi 14, 2014.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia moja ya vitabu wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Pai Tanzania,  kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Wasichana wakitoa burudani ya kwaya wakati wa sherehe hizo Mnazi Mmoja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, Julian Ilunga, wa Shule ya Sekondari Kitangili Mwanza, aliyeibuka mshindi wa kwanza katika shindano la ‘Junior Mathematics Contest 2013’ wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Machi 14, 2014.

Sehemu ya Wanafunzi na Waalimu, wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakiwa na mabango yenye ujumbe kuhusiana na Sherehe za maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Machi 14, 2014.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Maandamano ya Wanafunzi na Walimu wa Shule za Sekondari, Msingi na Vyuo Vikuu, wakati wa Sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Siku ya Pai Tanzania, iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Machi 14, 2014.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wanafunzi waliofanya vizuri katika shindano la ‘Senior & Junior Mathematics Contest 2013’, baada ya kuwakabidhi zawadi zao, wkati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Pai Tanzania. Picha zote na OMR