Matukio Picha Katika Sherehe za Mahafali ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, GTI

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha  GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza  maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla  hiyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha
GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza
maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla
hiyo.

Mkuu wa taaluma na mipango wa GTI, Bi Doroth akitamka kuanza kwa sherehe za Mahafali ya Pili ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia Tanzania (GTI) kwenye hafla ya mahafali hayo

Wanamahafali wa pili wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) wakiimba wimbo maalumu kuwaburudisha  wageni waalikwa katika hafla ya mahafali yao

Wanamahafali wa pili wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) wakiimba wimbo maalumu kuwaburudisha
wageni waalikwa katika hafla ya mahafali yao

Sehemu ya wanamahafali wa pili wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) wakiimba wimbo maalumu kuwaburudisha wageni waalikwa katika hafla ya mahafali yao.

Sehemu ya wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) wakiwa kwenye sherehe za mahafali yao yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) leo Mabibo jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (wa pili kushoto) akitoa hotuba yake kwa wanamahafali wa mafunzo ya jinsia katika chuo cha GTI.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro (kushoto) akiwahutubia  wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es  Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro (kushoto) akiwahutubia
wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es
Salaam.

Sehemu ya wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) pamoja na wageni waalikwa wakiwa kwenye  sherehe za mahafali yao yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania  (TGNP) leo Mabibo jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) pamoja na wageni waalikwa wakiwa kwenye
sherehe za mahafali yao yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania
(TGNP) leo Mabibo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Asseny Muro (kushoto) akimtunuku cheti cha jinsia mmoja wa wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Asseny Muro (kushoto) akimtunuku cheti cha
jinsia mmoja wa wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo
jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) (kulia) akionesha cheti chake mara baada ya kutunukiwa.

Mmoja wa wanamahafali wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) (kulia) akionesha cheti chake mara baada ya kutunukiwa.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha  GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza  maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla  hiyo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha
GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza
maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla
hiyo.

Baadhi ya wageni waalikwa wa mahafali ya pili ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, GTI

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Asseny Muro, Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo,  Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi na meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na  wanamahafali baada ya kutunukiwa vyeti vyao.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Asseny Muro, Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo,
Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi na meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na
wanamahafali baada ya kutunukiwa vyeti vyao.