Phillip Mwihava akiwa na mkewe Evodia Elias kwenye hafla kambambe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Deluxe, Sinza Dar es Salaam Jumamosi ya 24/05/2014.

Phillip Mwihava

Phillip Mwihava na mkewe Evodia Eliaspamoja na wasimamizi wao.

Phillip Mwihava na mkewe Evodia Elias wakiwaongoza wasimamizi wao kuelekea kupata maakuli.

Wakati wa masotojo ukawadia.