
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza katika mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika Geneva, Switzerland, Oktoba 25. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika ufunguzi wa mkutano wa Mawasiliano wa Kimataifa, uliofanyika Oktoba 25, Geneva Switzerland, ambapo Tanzania ilikuwa ni moja kati ya nchi zilizoshiriki katika maonesho ya mkutano huo. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)