Naibu Waziri wa Fedha Nchini, Mh Mwigulu Nchemba ambae pia alikuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akifungua Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, Jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mh Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati wa Mkutano wa wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea katika Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC, Jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF ambae pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii mara baada ya Kufungua Mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, Jijini Arusha
Naibu Waziri wa Fedha, Mh Mwigulu Nchemba akimpongeza Meneja Masoko na Mahusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Lulu Mengere wakati wa mkutano wa 24 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC, Jijini Arusha
Wadau wakifuatilia Mada katika Mkutano wa 24 Wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC Jijini Arusha.
Wabunge wa Chadema Joshua Nassari (kushoto) na Joseph Mbilinyi (Kulia) wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa na Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF (Hayupo pichani) Mh William Erio wakati wa mkutano wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea Kufanyika Katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha
Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakifuatilia kwa Makini Mada mbalimbali zinazotolewa na Viongozi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF na SSRA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio (Wa Kwanza kushoto) akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Mh Makongoro Mahanga (Katikati) wakati wa mkutano wa wanachama na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC uliopo Jijini Arusha.Picha zote na Josephat Lukaza Arusha