Matukio Mkutano wa Wahariri Arusha uliodhaminiwa na SBL


Katibu wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), Boniface Meena (katikati) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda baada ya awamu ya kwanza ya mkutano wa wahariri wa habari nchini unaoendelea mjini Arusha.




Baadhi ya wadau wanaohudhuria mkutano wa wahariri mjini Arusha wakiwa katika mapumziko na kutafakari mada zilizotolewa katika awamu ya asubuhi ya mkutano huo.