
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping, katika Ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam, walipokutana asubuhi ikiwa ni hatua ua ushirikiano katika nchi mbili hizi. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu]