Rais Jakaya Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma tarehe 30. 5.2013 wakitembelea makumbusho ya karakana ya sayansi ya TOSHIBA iliyoko huko Kawasaki karibu na Tokyo nchini Japan inayohusika na utengenezaji wa injini za treni na vifaa vingine vya elektroniki
Rais Jakaya Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma tarehe 30. 5.2013 wakitembelea makumbusho ya karakana ya sayansi ya TOSHIBA iliyoko huko Kawasaki karibu na Tokyo nchini Japan inayohusika na utengenezaji wa injini za treni na vifaa vingine vye elektroniki wakiangalia laptop ya kwanza pamoja na calculator iliyotengenezwa na kampuni hiyo mwaka 1985. Rais Kikwete yupo nchini Japan kuhudhuria mkutano wa tano wa uhusiano wa kiuchumi kati ya Japan na Africa.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Seneta Tetsuro Yano, Rais wa Association of African Economy and Development (AFRECO) wakati Mama Salma akifuatana na Rais Kikwete walipohudhuria kwenye chakula cha usiku (working dinner) kilichoandaliwa na seneta huyo pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan kuzungumzia uwekezaji wa Japan kwa nchi za Afrika . Working dinner hiyo ilifanyika huko Tokyo nchini Japan tarehe 30.5.2013.PICHA NA JOHN LUKUWI