

Banda la AIRTEL. Baadhi ya wateja wakihudumiwa katika banda hilo

Banda la Mawasiliano na ndio maana mmoja wa wafanyakazi wa banda hilo anawasiliana kwa simu

Simba

Banda la Maliasili na Utalii


Mabanda ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege TAA

Mmoja wa wananchi (kushoto) katika mabanda ya JWTZ na JKT akichangia damu

Wananchi wakiwa kwenye foleni kuingia moja ya mabanda ya JWTZ kitengo cha kliniki ya macho

Banda la JWTZ Hospitali ya Lugalo, hapa mmoja wa wananchi akizungumza na daktari


Mmoja wa wananchi (kulia) aliyetembelea banda la APRM akipewa maelezo namna taasisi hiyo inavyofanya kazi.