Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph Mbatia baada ya kuufunga mkutano wa siku mbili wa Tafakuri na Maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania, Ukumbi wa Whitesand Jijini Dar es Salaam. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiashiria jambo wakati wa akiufunga mkutano wa Tafakuri na maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania katika ukumbi wa White sand jijini Dar es Salaam, uliowashirikisha wanasiasa, Mashirika ya Kijamii na Viongozi wa Dini mbali mbali nchini.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw. Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na ramadhan Othman, Ikulu.]