
Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Prof. Idris Kikula Akisalimiana na Wachezaji wa Mpira wa Kikapu Kabla ya Mchezo huo Kuanza.

Timu zote za Michezo Wa Mpira wa Miguu, Kikapu, Nyavu za Vitivo Vya Chuo Kikuu Cha Dodoma zilizoingia fainali katika Bonanza la Kikula Spor Day - UDOM BONANZA linalofanyika kila mwaka huku mwaka huu ukiwa ni mwaka wa pili tokea kuanzishwa kwake.

Baadhi ya Wanafunzi Waliojitokeza kushuhudia Bonanza hilo lililofanyika jana katika viwanja Vya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM), bonanza hilo lilidhaminiwa na Kampuni ya Coca Cola pamoja na Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma, Prof. Idris Kikula. Picha zote kwa Hisani ya Josephat Lukaza wa http://josephatlukaza.blogspot.com