Mkurugenzi mkuu wa TOTAL nchini Tanzania Bw. Stephane Gay akimkabidhi zawadi toka bidhaa za AWANGO mgeni rasmi, Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo mara baada ya kuzinduwa mradi huo jana.
Meneja wa Maswala ya Kisheria na Ushirika wa kampuni ya TOTAL Tanzania Bi. Marsha Msuya akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi wa bidhaa za AWANGO zilizo chini ya mradi wa TOTAL unaojulikana kama ‘Total Access to Solar’ (TATS) wenye lengo la kutatua tatizo la ukosefu wa umeme nchini Tanzania kwa jamii ya watu wa kipato cha chini. Bi. Marsha alisema kuwa bidhaa hizo zitafika katika mikoa yote nchi nzima.
Akinadada toka katika kikundi cha burudani (Maendeleo Dance Crew) wakionesha manjonjo yao katika hafla ya Uzinduzi wa mradi wa AWANGO toka Kampuni ya Total Tanzania
Kikundi cha burudani (Maendeleo Dance Crew) kikionesha igizo na umahiri katika kucheza huku wakiwa na taa za zamani kabla ya kubaini bidhaa za awango zinazotumia nishati ya jua za mradi wa AWANGO toka Kampuni ya Total mara baada ya uzinduzi wa bidhaa hiyo.
Waziri wa nishati na madini Prof. Sospeter Muhongo (kulia), mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa bidhaa zinazotumia nishati ya jua kuzalisha umeme zinazojulikana kama AWANGO, wa kwanza kushoto ni Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mh. Marcel Escure pamoja na Mkurugenzi mkuu wa TOTAL nchini Tanzania Bw. Stephane Gay wakishuhudia matukio katika hafla hiyo.
Baadhi ua wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa bidhaa za AWANGO zilizo chini ya mradi wa TOTAL unaojulikana kama ‘Total Access to Solar’ (TATS) wenye lengo la kutatua tatizo la ukosefu wa umeme nchini Tanzania kwa jamii ya watu wa kipato cha chini. Bi. Marsha alisema kuwa bidhaa hizo zitafika katika mikoa yote nchi nzima.

Smile from Awango by Total toka kwa warembo katika hafla ya Uzinduzi wa mradi wa AWANGO toka Kampuni ya Total Tanzania
10. Baadhi ua wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa bidhaa za AWANGO zilizo chini ya mradi wa TOTAL unaojulikana kama ‘Total Access to Solar’ (TATS) wenye lengo la kutatua tatizo la ukosefu wa umeme nchini Tanzania kwa jamii ya watu wa kipato cha chini. Bi. Marsha alisema kuwa bidhaa hizo zitafika katika mikoa yote nchi nzima.
Picha ya pamoja kutoka kwa wafanyakazi wa kampuni ya Total Tanzania baada ya uzinduzi wa mradi wa AWANGO.