
Baadhi ya viongozi wa NSSF, Meneja Kiongozi, Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Mkurugenzi Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori wakimpokea Mwenyekiti wa Bodi ya wa NSSF, Abubakar Rajabu akiwasili viwanja vya Karimjee kwenye hafla ya chakula cha mchana na wastaafu jana.

Mmoja wa wastaafu wa NSSF akiwasili viwanja vya Karimjee kwa ajili ya hafla ya Chakula cha Pamoja na Wastaafu Dar.


Baadhi ya wastaafu wanaohudumiwa na NSSF Dar es Salam wakipata Chakula cha Pamoja na Wastaafu wenzao.

MC wa hafla hiyo, Ephraim Kibonde (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa maofisa wa NSSF, Mama Muheta.