Matukio katika picha kwenye mjadala ‘live’ wa bajeti ya elimu Dar es Salaam

Bajeti ya elimu ‘live’ Dar

Dk. Shukuru Kawamwa akiwa ‘live’ akisoma bajeti leo

Wa kwanza kulia ni Rais wa Chama cha Walimu Tanzania, Gratian Mukoba akiwa katika mjadala live

Mhadhiri wa UDSM, Ayoub Rioba akifuatilia mjadala ‘live’ wa bajeti ya elimu iliyosomwa bungeni

Mhadhiri wa UDSM, Dk. Kitila Mkumbo akizungumza katika mjadala huo

Wadau wakiwa ‘busy’ katika mjadala huo

Wadau wa elimu wakifuatilia hotuba hiyo ‘live’ kabla ya mjadala