
Baadhi ya wateja mbalimbali wakiwa ndani ya Banda la TPB wakipata maelezo juu ya huduma za benki hiyo kwenye maonesho ya Wizara ya Fedha leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.
BENKI ya Posta Tanzania (TPB) inashiriki katika Maonesho ya Wizara ya Fedha kuadhimisha miaka 5o ya Uhuru yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Yafuatayo ni matukio katika picha mbalimbali ndani ya Banda la TPB.