
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda akiwapungia mkono mashabiki walioingia uwanja wa taifa, wengine ni viongozi mbalimbali Serikali, TFF, CECAFA pamoja na viongozi wa Kuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries mara baada ya kuzikagua timu za Kilimanjaro Stars ya Tanzania na Rwanda zilizopambana jana katika michuano ya Tusker Chalenji inayofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Phraim Mafuru (kushoto) akiojiwa moja kwa moja na kituo cha Televisheni cha Super Sport kutoka uwanja wa taifa Dar es Salaam.