Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Mikoa Mbalimbali

Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Mikoa Mbalimbali

Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Mikoa Mbalimbali

Matokeo Mkoa Wa Mbeya:
MBEYA MJINI Ccm106 Cdm 71 Nccr Mageuzi1. 
CHUNYA Ccm67, Cdm7 Vitngoj Ccm270 Cdm18.
ILEJE~ Vijj 71, 32 Vimekamilisha Uchaguz Ccm 23 Cdm 9. 
Kyela Ccm79 Cdm13 Vitngoj 460 Ccm377 Cdm88, 4 Kurudiwa.
Mbarali 102 Ccm81 Cdm16 6 Kurudiwa Vitongoj 713 Ccm570 Cdm79 36bado Matokeo. 
MBOZI. Vijj 125 92 Tayari Ccm84 Cdm33 Vtongj 664 Ccm 557 Cdm 110 Cufa Tlp1. 
RUNGWE 155 Ccm123 Cdm22 Cuf1 5kurudiwa Vtongoj 694 Ccm578 Cdm111 Buf2 Tlp2. 
MOMBA Vijj 720 Ccm43 Cdm24 5kurdiwa Vtongoj 302 Ccm189 Cdm53 60bado. 
TUNDUMA 710 Ccm25 Cdm46.

WILAYA YA MOROGORO MJINI CCM IMEPATA VITI 183, CDM 34, CUF 5

MOROGORO VIJIJINI CCM VITI 670,CDM 100, CUF 10,

WILAYA YA ULANGA CCM VITI 80, CDM 38, CUF _.
HAYA NI YA KATA 13,KATA 20 WANAPIGA KURA LEO.

WILAYA YA KILOSA CCM VITI 697, CDM 172, CUF 32,

WILAYA YA KILOMBERO CCM VITI 251,CDM 203, CUF 32,

WILAYA YA GAIRO CCM VITI 134 CCM WAMEPITA BILA KUPINGWA, VITUO 169 VILIFANYA UCHAGUZI NA

MATOKEO NI CCM 162,CDM 7, CUF 0.

WILAYA YA MVOMERO CCM VITI 572,CHADEMA 80, CUF 9.

KARAGWE NA KYERWA;
Mjini Omurushaka Mitaa 7 CDM; 2 CCM (MMOJA KURA ZIMEFUNGANA MARUDIO JUMA LIJALO)
Mjini Kayanga Mitaa 5CDM ; 1CCM
Ihembe Vijiji 9 CDM ; 6 CCM
Katani Kikukuru (Kyerwa) Vijiji 3 CDM ; 3 CCM
Kijiji Kikukuru vitongoji 4 CDM ; 1 CCM

Matokeo ya awali ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika mkoa wetu kama ifuatavyo:-

1. KILINDI: CCM imeshinda vijiji vyote 102 na Vitongoji vyote 615.

2. KOROGWE MJI
CCM imeshinda mitaa yote 17, vijiji vyote 7 na Vitongoji vyote 35.

3. BUMBULI.
CCM – vijiji vyote 83. Vitongoji 673. Ni vitongoji 6 tu CCM imepoteza.

4. KOROGWE VIJIJINI: Kati ya Vijiji 120, CCM imepata vijiji 117. Chadema – 2 na CUF 1.

Na kati ya vitongoji 610 vya jimbo zima, CCM 592; upinzani 13.

5. TANGA JIJI: Mitaa yote ni 181.
CCM – 119 (65.75%)
CUF – 60 (34.14%)
CDM – 2 (1.2%).

Vyama vilivyoshiriki ni CCM, CUF, CDM, ADC, UDP. Ukawa upo hapo???

6. HANDENI
Mitaa 60. CCM imeshinda mitaa 57 na CUF – 3.
Vijiji 91. Vilivyofanya Uchaguzi ni 88. CCM imechukua vyote.
Vitongoji ni 771. CCM imeshinda Vitongoji 770 na CUF 1.

7. PANGANI (Matokeo ya awali).
Jumla ya vijiji 33: CCM 23, CUF 7 CDM 1. 
Kijiji 1 (Mivumoni) bado kina utata.
kijiji 1 (P/Magharib) hakijafanya uchaguzi.

VITONGOJI: jumla ni 96.
CCM 65 – CUF 23, CDM 4, NCCR 1.
Vitongoji 3 havijafanya uchaguzi.

MATOKEO MKOA WA ARUSHA
1. ARUSHA MJINI

Idadi ya Mitaa 155

a) CCM —– 80
b) Ukawa —- 75

2. ARUMERU

Idadi ya Vijiji 71

a) CCM —– 62
b) Ukawa —- 9

Idadi ya Vitongoji 263

a) CCM —– 216
b) Ukawa —- 47

3. KARATU

Idadi ya Vijiji 58

a) CCM —- 27
b) Ukawa —25

Idadi ya Vitongoji 268

a) CCM —- 119
b) Ukawa — 130

4. LONGIDO

Idadi ya Vijiji 49

a) CCM —- 48
b) Ukawa — 1

Idadi ya Vitongoji 182

a) CCM —- 179
b) Ukawa — 3

5. MONDULI

Idadi ya Vijiji 62

a) CCM —– 62
b) Ukawa —- 0

Idadi ya Vitongoji 236

a) CCM —– 236
b) Ukawa —- 0

6. MERU

Idadi ya Vijiji 90

a) CCM —– 56
b) Ukawa —- 34

Idadi ya Vitongoji 336

a) CCM —– 217
b) Ukawa —-115

7. NGORONGORO

Idadi ya Vijiji 72

a) CCM —– 71

(Kijiji kimoja Bado)

Idadi ya Vitongoji 243

a) CCM —– 240

(Vitongoji Vi3 Bado)

TABORA MJINI
Mitaa 130 
Ccm 86 – 66%
Cdm 14 – 10%
Cuf 28 – 21%
Nccr 1 – 0.7%
Udp 1 – 0.6%

Vijiji 33
Ccm 32- 97%
Cdm 1 – 3%

Vitongoji 130
Ccm 121- 93%
Cdm 5- 3.8%
Cuf 4- 3.07%

Ushindi jumla
CCM 85.39%
CDM 5.88%
CUF 8.22%
NCCR 0.25%
UDP 0.25%

MATOKEO WILAYA YA IRINGA VIJIJINI NI:
VIJIJI VYOTE WILAYANI:133.
*CCM:130=(99.5%).
*CHADEMA:03=(0.5%).
VITONGOJI VYOTE WILAYANI:747.
*CCM:724=(96.8%).
*CHADEMA:23=(3.2%).