Matokeo Ligi Kuu Tanzania Bara (11/11/2012), Yanga Yaendelea Kutesa

Nembo ya Timu ya Yanga

TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam leo imefanikiwa kuichapa timu ya Coastal Union ya Tanga mabao 2-0.