Matatizo ya Ndege Barani Afrika siyo ATC tu Swala la ndege ya ATC kupata nyufa kioo cha mbele limekua gumzo laKitaifa,lakini tatizo la vyombo vya usafiri wa anga..sio Tanzania tubali kila kona ya nchi za dunia ya tatu!hebu tuangalia nyomi la msongamano wa abiria (pichani)