2. Washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa ukaguzi wa kuingia Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ajili ya kushiriki shindano la Guinness Football Challenge litalofanyika katika jiji la Johannesburg kwa muda wa siku kumi
washiriki wakijiandaa kuondoka katika chumba cha hotel ya City Inn, Dar
1. Baadhi ya Washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge wakiwa tayari kwa ukaguzi wa kuingia Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ajili ya kushiriki shindano la Guinness Football Challenge litalofanyika katika jiji la Johannesburg kwa muda wa siku kumi.