Mashindano ya NSSF Media Cup Yaingia Siku ya Tatu

Wachezaji wa Tumaini Media wakishangilia goli baada ya kuifunga timu ya Wizara ya Habari wakati wa mechi iliyofanyika jana katika viwanja vya TCC Changombe jijini Dar es Salaam.

Mchezaji wa Tumaini meda akijaribu kumpita mchezaji wa Wizara ya Habari wakati wa mechi iliyofanyika jana katika viwanja vya TCC Changombe, Tumaini Media iliibuka kwa Ushindi wa magoli  6 kwa 0.