Mzee Nicolaus Silwinga akijiandaa kupiga kipira katika hall namba moja wakati wa mashindano ya kuwania kombe la John Walker Waitara yaliyofanyika katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon (kulia) akiwa amesimamam na mmoja wa wacheza Golfu wenzake David Molel muda mfupi kabla ya kuanza kucheza gofu katika mashindano ya Johnnie Walker Waitara yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision Air nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Stephen Gannon akipiga kipira katika shimo na mba moja wakati wa mashindano ya Golfu wenzake ya John Walker Waitara yanayoendelea hivi
sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker. Kampuni ya Ndege ya Precision Air nao ni miongoni mwa wadhamini wa Mashindano hayo.

Mcheza gofu David Molel akipiga kipira katika shimo na mba moja wakati wa mashindano ya Golfu
wenzake ya John Walker Waitara yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker.
wenzake ya John Walker Waitara yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker.
Jenerali Mstaafu, Mrisho Sarakikya akipiga kipira katika shimo na mba moja wakati wa mashindano ya Golfu wenzake ya John Walker Waitara yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa SBL, kupitia kinywaji cha Johnnie Walker.