Marekani Yailaza Costa Rica Bao 4 Michuano ya Copa America

america

Katika Copa Amerika, Mechi ambazo zimechezwa alfajiri hii, Marekani wamewabamiza Costa Rica bao nne kwa Sifuri, Colombia 2 na Paraguay 1.kesho Brazil atakwaana na Haiti na Equador wataminyana na Peru.