Marehemu Meja Jenerali Muhiddin Kimario Azikwa

Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili makaburini.

Ma-Meja wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania (JWTZ) huku wakisindikizwa Ma-Kanalki wakiwasili makaburini.

 Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania 
(JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika  makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.
 Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi
Tanzania 
(JWTZ) Muhiddini Kimario katika  makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11,
2014.
 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Jakaya Kikwete akiwasili kwenye mazishi ya la  Meja
Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania 
(JWTZ) Muhidini Kimario  katika makaburi ya manispaa ya Moshi. Kulia kwake ni
Meja Jenerali 
 Ezekiel Kyunga, aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange ambaye yuko nje ya nchi. Kushoto kwa Rais ni Brigedia Jenerali Amos Martin Kemwaga.
 Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu.
  Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu.
  Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu.
 Bendi ya JWTZ ikiongoza msafara kuelekea kaburini.
 Askari wa JWTZ wakiwasili makaburini.
 
 Jeneza likipelekwa kaburini tayari kwa mazishi.
 Askari wa JWTZ wakiwa tayari kutoa heshima za mwisho za Kijeshi pembeni mwa kaburi.
 Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario likikabidhiwa viongozi wa dini kwa mazishi
kabla ya shughuli za kuagwa kijeshi hazijaanza.
 Sehemu ya waombolezaji
 Waombolezaji katika mazishi 
 Umati mkubwa wa wananchi wa manispaa ya Moshi na sehemu zingine wakiwa katika mazishi.
 Mazishi
 Sehemu ya wanahabari kwenye mazishi. Wa tatu toka kulia ni Dixon Busagaga, mwakilishi wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini.
 Brigedia Jenerali Ibrahim Kimario akiweka udongo kaburini.
 Dua baada ya maziko
 Watoto wa marehemu na ndugu wengine wa karibu.
 Baada ya ndugu wakiongozwa na viongozi wa dini kumaliza maziko, Askari wa JWTZ walichukua nafasi yao kuaga kwa heshima zote za kijeshi ikiwa ni pamoja na kupigwa mizinga.
 Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dk. Msengi na Meja Jenerali
Ezekiel  Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
 Askari akitoa ishara wakati wa kupigwa mizinga
 “Last Post” ikipigwa
 Meja Jenerali  Ezekiel  Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi jenerali Davis Mwamunyange  akisoma salamu za rambirambi za
JWTZ
 Rais Kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya
 Meja Jenerali  Ezekiel  Kyunga, Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi, akikabidhi salamu za rambirambi kwa mtoto wa
marehemu
 Mtoto wa marehemu Mfaume Kimario akitoa shukurani
 Watoto wa marehemu wakifarijiana
 Rais Kikwete akiwafariji watoto wa marehemu
 Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu.
 Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu.
 Rais Kikwete akiwafariji familia ya marehemu
 Rais Kikwete akitoa pole kwa familia
 Rais Kikwete akiaga waombolezaji
 Rais Kikwete akiagana na waombolezaji
 Rais Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
wakati akiwa anaondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro.
Rais
Kikwete akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Novatus Makunga kabla
ya kuondoka kurejea Dar es salaam. PICHA NA IKULU