
Male aldabra tortoise (left) has 152 years old and more than 200 kilograms of body weight the female tortoise(right) is 120 years old and lays 9 to 25 eggs that are hatched after eight months, the tortoises are part of the 50th Independence Anniversary exhibition at the Mwalimu JK Nyerere. Photo by Damas Mwita.
Maonyesho hayo ambayo yamefunguliwa rasmi na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Dkt Mohamed Shein yanashirikisha Wizara mbalimbali, Taasisi za Serikali,Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Wafanyabiashara binafsi kutoka Bara, Visiwani na kutoka nje ya nchi.
Baadhi ya vivutio vilivyopo katika maonyesho hayo ni pamoja na burudani mbalimbali kutoka vikundi vilivyoteuliwa kutoka mikoa kadhaa na banda la wizara ya Maliasili na Utalii lililopo ndani ya uwanja litaonyesha wanyama pori hai kutoka kwenye mbuga zetu za wanyama hapa tanzania