Maonesho ya Usiku wa Mitindo Wafana

Mmoja wa wanamitindo akipita Jukwaani

Akina kaka nao walipendezesha vilivyo katika Usiku wa tukio hilo la maonesho ya Mavazi

Wadau mbalimbali waliofika kutazama mashindano hayo

Wabunifu wa mavazi katika usiku wa mitindo uliofanyika Mbalamwezi beach walikuwa ni Diana Magese, Mitindonite iliwakilishwa na Ally, Amin, Wancy na Matrida, Bambo collection, Renee, Cocoriko, William Johnson, Veronica Ruhenzi-VS collection, Dorcas, Subira, Salim Ally, na Wavisa Collection.

Wengine ni Onfe collection, Baby Jullieth Collection na Hamidi Abdul collection.