
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami (katikati) akikagua baadhi ya mabanda ndani ya wajasiriamali wanawake walioshiriki katika maonesho ya Twende Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni mwaandaaji wa maonesho hayo, Mbunifu maarufu wa mavazi Tanzania, Mustafa Hassanali.