
Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la NSSF wakipewa maelezo uhusiana na mradi wa ujenzi wa Mjini wa Dungu Kigamboni.

Mji wa Dungu utakaojengwa kisasa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), unavyoonekana pichani

Mmoja wa Maofisa wa NSSF akitoa maelezo namna ya ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigamboni linalotarajiwa kujengwa na Shirika hilo.

Wananchi wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na NSSF ndani ya banda lao. (Picha zote na Joachim Mushi)