Mratibu wa mambo ya Biashara wa Ecobank Tanzania, Kwale Ademwingi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maonesho ya Sekta ya Ujenzi, Kushoto ni Ofisa wa Ecobank Tanzania, kitengo cha wateja wakubwa, Nelson Karawa.
Mtaalamu wa Masoko na Biashara wa TBCE, Zakaria Malcom, akizungumza katika mkutano huo.