Lazima Mmoja Atoke Arsenal,Olympiakos .

_84460959_wenger_getty
Mechi za makundi za UEFA zitaendelea tena Leo leo kwa michezo mbalimbali ,na miongoni mwa mechi zitakazovutia wengi ni ile ya Arsenal ambapo itawapasa Washika Mtutu kushinda ushindi wa 2-0, 3-1 au 4-2 dhidi ya Olympiakos .

Katika kundi lao Arsenal Klabu ya Bayern Munich imeshafuzu kwa Pointi 12 Huku Arsenal ina pointi 6 wakati Olympiakos inapointi 9 na D. Kiv ikiwa ya Mwisho na Pointi 3.
Ratiba Ya Michezo Mingine ni Kama Inavyoonesha

22:45 AS Roma – BATE
22:45 Bayer Leverkusen – Barcelona
22:45 Chelsea – FC Porto
22:45 D. Zagreb – Bayern Munich
22:45 Dyn. Kiev – Maccabi Tel Aviv
22:45 Gent – Zenit Petersburg
22:45 Olympiakos Piraeus – Arsenal
22:45 Valencia – Lyon