Mambo Yaanza Dodoma, Rais Kikwete Azindua Ukumbi Mpya wa CCM

Rais jakaya Kikwete, akionyesha mfano wa ufunguo wa Ukumbi huo baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukumbi huo, mjini Dodoma. Picha na OMR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.  Jakaya Kikwete, akimkabidhi mfano wa ufunguo wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, Katibu Mkuu wa CCM Bara, Abrahman Kinana, baada ya kuzindua rasmi ukumbi huo, mjini Dodoma. Picha na OMR

Picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali baada ya uzinduzi huo. Picha na OMR

Rais Jakaya Kikwetena baadhi ya Viongozi, wakitembelea kukagua ukubi huo baada ya uzinduzi. Picha na OMR

Rais Jakaya Kikwete na baadhi ya Viongozi, wakitembelea kukagua ukubi huo baada ya uzinduzi. Picha na OMR

Picha ya pamoja baada ya kutembelea kukagua ukumbi huo. Picha na OMR