Mambo Ya Uholanzi haya Uholanzi watu wengi wanapenda kuendesha baiskeli kuliko kuendesha magari, sio kwamba hawana uwezo kununua magari bali wanajali afya zao zaidi na wanataka kuwa “fit”.