Mama Samia Suluhu Atembelea Wagonjwa Huruma Hospitali, Ahaidi Kuboresha Huduma

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akiwanadi wagombea ubunge wa majimbo ya Moshi Mjini, Moshi Vijijini na Vunjo.

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi Moshi Mjini viwanja vya Majengo Mkoani Kilimanjaro.

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akiwa katika Hospitali ya Huruma kuwasalimu wagonjwa na kusikiliza changamoto mbalimbali hospitalini hapo.

IMG_0039

Kada wa CCM, Bi. Asumpta Mshana akizungumza  moja ya mikutano ya hadhara Jimbo la Rombo

Mgombea ubunge CCM jimbo la Moshi Vijijini akizungumza na wananchi.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi CCM, Bi. Samia Suluhu eneo la majengo Moshi Mjini.

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara Moshi Vijijini.

Wananchi wakiwa wamemzunguka Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bi. Samia Suluhu alipo wasili viwanja vya Majengo Mkoani Kilimanjaro.

Wagombea ubunge wa CCM majimbo ya Moshi Mjini, Devis Mosha akihutubia wananchi katika mkutano wa Bi. Samia Suluhu viwanja vya Majengo.

Wagombea ubunge wa CCM majimbo ya Moshi Mjini, Devis Mosha akihutubia wananchi katika mkutano wa Bi. Samia Suluhu viwanja vya Majengo.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi CCM, Bi. Samia Suluhu eneo la majengo Moshi Mjini.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi CCM, Bi. Samia Suluhu eneo la majengo Moshi Mjini.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi CCM, Bi. Samia Suluhu eneo la majengo Moshi Mjini.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi CCM, Bi. Samia Suluhu eneo la majengo Moshi Mjini.

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi Moshi Mjini viwanja vya Majengo Mkoani Kilimanjaro.

Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi Moshi Mjini viwanja vya Majengo Mkoani Kilimanjaro.

Wagombea ubunge wa CCM majimbo ya Moshi Vijijini na Vunjo wakifuatilia mkutano wa Bi. Samia Suluhu.

Wagombea ubunge wa CCM majimbo ya Moshi Vijijini na Vunjo wakifuatilia mkutano wa Bi. Samia Suluhu.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi CCM, Bi. Samia Suluhu eneo la majengo Moshi Mjini.

Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi CCM, Bi. Samia Suluhu eneo la majengo Moshi Mjini.

Na Joachim Mushi, Moshi

MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ametembelea Hospitali ya Huruma ya Wilaya ya Rombo na kusikiliza changamoto anuai zinazowakabili wagonjwa hospitalini hapo kabla ya kufanya mkutano wa hadhara kuinadi ilani ya CCM, huku akiahidi kuendelea kuboresha huduma za afya endapo CCM itachaguliwa tena na kuunda serikali katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015.

Akiwa katika Hospitali ya Huruma Bi. Samia alitembelea wodi ya wazazi na kuwajulia hali ambapo alivutiwa na kuipongeza hospitali hiyo kupunguza idadi ya akinamama wanaopata matatizo wakati wa kujifungua, vikiwemo vifo vya watoto. Alisema ilani ya CCM ijayo itaiongezea uwezo sekta ya afya ili kuhakikisha inakabiliana na changamoto zote zinazoikabili huduma za afya ikiwemo matatizo ya wajawazito na upatikanaji wa dawa.

Aliwapongeza wahudumu na madaktari katika kituo hicho kwa kupunguza idadi ya vifo vya akinamama na watoto na kuahidi serikali itakayoundwa na CCM baada ya kuchaguliwa imepanga kufanya vizuri zaidi kuviwezesha vituo vya afya, hospitali na zahanati ikiwa ni mkakati wa kupeleka huduma bora kwa jamii.

Mgombea huyo akiwa katika mikutano yake ya hadhara aliyoifanya wilaya ya Rombo, Moshi Vijijini na Moshi mjini aliwaomba wananchi kuichagua wagombea wa CCM kwani ilani mpya imepanga kuboresha huduma mbalimbali za kijamii ikiwa ni pamoja na kuwawezesha wananchi wake katika makundi mbalimbali.

Aidha aliwanadi wagombea ubunge kwa tiketi ya CCM wa majimbo ya Moshi Mjini, Rombo na Jimbo la Vunjo akiwaomba wananchi kuwachagua ili CCM iweze kutekeleza mikakati yake katika ilani mpya. Alisema CCM inafanya kazi kwa ushirikiano hivyo inapaswa kushinda katika ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge na urais.

Alisema Serikali watakayoiunda itakuwa ya wachapakazi hivyo watu waliozoea kufanya kazi kwa ubabaishaji wajiengue wenyewe kwani hawawezi kuvumiliwa. Aliongeza kuwa wataunda chombo maalum kwaajili ya kusikiliza malalamiko ya wananchi na kuyafanyia kazi haraka ili kupunguza kero kwa wananchi.