Mama Salma akiangalia kazi mbalimbali za mikono ziizokuwa zikifanywa na wanawake Waperakanas wa Singapore zilizohifadhiwa kwenye makumbusho hayo
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Bibi Ghazala Aziz-Scott, (a museum docent) kutembelea makumbusho ya Perakanas yaliyoko huko Singapore tarehe 5.6.2013.