
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpa mkono mwanafunzi mdogo wa shule ya msingi mara baada ya sherehe ya kutimiza miaka 10 ya Fao la elimu linalotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF zilizofanyika jijini Dar tarehe 27.4,2013.

Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya udhamini na wanafunzi wanaofadhiliwa katika elimu yao na PPF wakati wa kilele cha kutimiza miaka 10 zilizofanyika Dar tarehe 27.4.2013.