Mama Mwanamwema Shein na mkutano na vikundi anuai Jimboni Magogoni


MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama Mwanamwema Shein akizungumza na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha Seif Iddi wakiwa katika Mkutano wa kuonana na vikundi mbalimbali vya Jimbo la Magogoni mkutano huo ulifanyika jana katika Tawi la CCM Mwendapole liliopo Welezo, Wilaya ya Magharibi Unguja. (picha na Haroub Hussein)