Mama Kikwete Apambana Kupinga Utumikishaji Watoto

Mama Kikwete Apambana Kupinga Utumikishwaji Watoto

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na mtoto Hamadi Hatibu aliyekuwa mwathirika wa utumikishwaji wa mtoto. PICHA NA JOHN  LUKUWI  

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi kampeni ya kadi nyekundu katika kupambana na utumikishwaji wa mtoto hapa Tanzania wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na International Rescue Committee katika Hoteli ya Serena tarehe 5.9.2014.

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Msanii maarufu wa kimataifa Daniele de Niese anayetumiwa na Shirika la International Rescue Committee katika kuhamasisha mapambano ya utumikishwaji wa watoto. PICHA NA JOHN  LUKUWI  

Baadhi ya wageni waalikwa walioshiriki katika hafla hiyo.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiingia kwenye kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena kwa ajili ya chakula cha jioni cha kampeni za kupambana na utumikishwaji wa mtoto hapa nchini kilichoandaliwa na Shirika la International Rescue Committee tarehe 5.9.2014. PICHA NA JOHN  LUKUWI  