Mama Kikwete akutana na wake za marais Malaysia

Baadhi ya wageni waalikwa na wake wa viongozi wa kitaifa kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye hafla ya chai ya jioni iliyoandaliwa na mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia, Datin Paduka Seri Rosmah Mansor nchini Malaysia.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto ) akizungumza na baadhi ya wake wa viongozi wa kitaifa kutoka nchi za Afrika wakati walipokaribishwa kwenye hafla ya chai ya jioni na mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia Datin Paduka Seri Rosmah Mansor (kulia) nyumbani kwake Putrajaya Malaysia. (Pichani akifuatiwa kutoka kulia) ni Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya Mama Pailine Kalonzo (nguo ya Blue sky) pamoja na mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho Mama Mathato Mosisili (mwenye nguo ya mistari) (Juni 21,2011 na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)