
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akibadilishana mawazo na mgeni wake nje ya ofisi za WAMA mara baada ya viongozi hao kufanya mazungumzo tarehe 23.7.2013.
IMG 7532,

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Cherrie Blair wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, mara baada ya kufanya mazungumzo yao.
