
Moja ya kikundi cha wasanii kutoka nchini Botswana ambacho awali kilikuwa kikifanya kazi na kundi maarufu la Makirikiri kutoka nchi hiyo wakiwapagawisha wananchi waliotembelea Maonesho ya Wizara ya Fedha na taasisi zilizochini yake katika kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania jana jijini Dar es Salaam.