
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Nachingwea, wakati wa ziara yake Mkoa wa Lindi iliyoanza Januari 20, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipokea kadi ya uanachama kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wa Wilaya ya Nachingwea, Hassan Mkope, aliyejiengua katika chama hicho na kujiunga na CCM, wakati Makamu alipotembelea mradi wa maji wa Chiumbati Nachingwea, akiwa katika zaiara yake ya mkoa wa Lindi, Januari 20, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR