Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya washiriki waliohudhuria ufunguzi wa mkutano wa wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, baada ya kufungua rasmi mkutano huo ulioanza Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kufungua rasmi mkutano huo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR