Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan akizindua zoezi la ugawaji wa mabeseni yenye vifaa tiba 1000 kwa ajili ya wanawake wajawazito Tanzania Bara na Zanzibar vilivyotolewa na Serikali ya Kuwait kupitia Ubalozi wake hapa nchini. Lengo la mpango huo ni kukabiliana na vifo vya watoto na wanawake wajawazito nchini.

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan amezindua zoezi la ugawaji wa mabeseni yenye vifaa tiba 1000 kwa ajili ya wanawake wajawazito Tanzania bara na Zanzibar. Vifaa hivyo vimetolewa na Serikali ya Kuwait kupitia Ubalozi wake hapa nchini, Lengo la mpango huo ni kukabiliana na vifo vya watoto na wanawake wajawazito nchini.
Tukio hilo pia limehudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Paul Makonda.