
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua kitambaa kuzindua mradi wa maji safi na salama katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar zilizofanyika leo Disemba 7-2013, ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar. (Picha na OMR