Makamu wa Rais Dk Bilal Afunguwa Mkutano Maalum wa Baraza la Mawaziri RECSA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Maalum wa tatu wa Baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na Nchi Majirani zinazounda Umoja wa kudhibiti Silaha ndogo (RECSA), uliofanyika leo mchana kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Umoja huo unaundwa na nchi 15 ambazo  ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Ethiopia, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Shelisheli, ElitreaAfrika ya Kusini, Jibuti na Afrika ya Kati. Picha na OMR

 Baadhi ya wadau na washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano huo leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na baadhi ya washiriki wa mkutano huo baada ya kufunguliwa rasmi kwa mkutano huo.