MAKAMU WA RAIS AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA LEO

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. DK. Mohamed Gharib Bilal akiwa katika vazi la Mgolole la heshima na uongozi la kabila la Muarusha (Masai) alilokabidhiwa na wananchi wa wilaya ya Arusha, alipowasili kwenye uwanja wa kijiji cha Terrat Nadosollo kwa ajili ya kuhutubia wananchi. Makamu wa Rais amekamilisha ziara yake ya siku nne ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani Arusha leo.

Source: Fullshangwe