Makamu wa Rais Afrika ya Kusini awasili Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na kuzunguma jambo na Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe, aliyewasili nchini Julai 8, 2012 kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dk. Bilal na kesho atatembelea Mazimbu mkoani Morogoro. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe, baada ya kuwasili nchini Julai 8, 2012 kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dk. Bilal na kesho atatembelea Mazimbu mkoani Morogoro. Picha na Muhidin Sufiani-OMR