Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan amewasili usiku huu Jijini Addis Ababa-Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.