Makamba na Shekifu, uso kwa uso Bungeni!

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu  ya Bunge ya  Nishati na Madini, Januari  Makamba akizungumza jambo na kusalimiana na Mbunge wa Jimbo la Lushoto Henry Shekifu  mara baada ya kuwasilisha taarifa ya  kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2010/2011 pamoja na makadirio ya  mapato na matumizi  ya wizara hiyo kwa mwaka 2011/2012.

PICHA NA MAGRETH KINABO – MAELEZO