Maindi ya Kuchoma, Chalinze…!


Hapa nikiwa njiani eneo la Chalinze kuelekea Korogwe milimani kwa kazi za kijamii zaidi…kaa mkao wa kujua mengi nitakayojaliwa kutoka kwa wanakijiji huko kwa ndugu zangu wasambaa.